Detectives have arrested the wife of suicide bomber Mahir Khalid Rizik, who blew himself up during Tuesday’s terror attack at DusitD2 complex along 14 Riverside Drive in Nairobi.
Sahaila Mwinyi has been apprehended in Barakani, Mombasa on Saturday and is set to be driven to Nairobi for questioning.
Police have also arrested Rizik’s father in Mombasa’s Majengo estate.
Riziki, 25, was allegedly recruited and radicalized by an Al-Shabaab fighter named Ramadhan Hamisi, who is currently in Somalia.
Hamisi is said to have met Riziki at Musa Mosque in Mombasa, where he was attending his daily prayers, before recruiting him into the Somalia-based Islamic terrorist organization.
Authorities say Riziki has previously been involved in attacks that mainly targeted police officers and had traveled to Somalia before returning to the country to execute the attack.
CCTV footage from the scene of the attack shows Rizik walking along a pavement outside Secret Gardens while on a phone call before blowing himself up seconds later.
He is reported to have arrived at DusitD2 complex earlier than his colleagues and was constantly receiving instructions from prime suspect, Ali Gichunge through a phone.
The attack, which Al-Shabaab has claimed responsibility for citing US President Donald Trump’s decision to recognize Jerusalem as Israeli’s capital, left 21 people dead and several others injured.
Dini ni sehemu moja ya mila…
Dini ni sehemu moja ya mila za watu (religion is an extension of people’s culture) unapotenganisha dini na watu, mara moja, watu wanachanganyikiwa.
Mimi sina neno na imani ya Wayahudi, Wahindi, na dini nyingine zinazoheshimu dini za watu wengine. Matatizo yangu ni dini hizi mbili ambazo zinatumia mabavu (force) kueneza imani yao kwa watu wasio wakristo au waislamu kwa njia ya kuwapiga msasa asubuhi, mchana, adhuhuri, alasiri, jioni, usiku, usiku wa manane bila kupumzika.
Zamani, Wakamba, Wamasai, na pia Wagikuyu waliishi pamoja kama majirani. Mara kwa mara walipigana na kuchukua mali ya wengine. Lakini hawakumlazimisha jirani kusema lugha yake au kufuata imani yao.
Dunia itakapopiga marufuku (ban) dini hizi mbili (ukristo na uislamu) amani itaanza kurudi baina ya binadamu tena. Wafuasi wa dini hizi mbili kazi yao kubwa ni kupigapiga mdomo bila vitendo (they just talk without actions). Vitabu vyao vimejaa uhalifu mwingi sana (The have the most violent books in history).
Kulingana na Imara, mkristo ni mtu ambaye hajasoma biblia yake vizuri na pia mwislamu ni mtu ambaye hajasoma koran vizuri. Wafuasi wa dini hizi mbili watakaposoma vitabu vyao vya imani vizuri, watajiunga na Imara.
Mimi namtambua MWUMBAJI ambaye hakuandika kitabu chochote lakini alitupatia AKILI ili tuitumie kwa njia ya kuishi kwa amani, kujilisha (to feed ourselves), kuwalea watoto wetu ili wawe watu wazuri watakapokuwa wazima, na kuendelea kuwa mwalimu na pia mwanafunzi katika maisha yote ya uhai wetu.
*Dini ni sehemu moja ya mila…
*Dini ni sehemu moja ya mila za watu unapotenganisha dini na watu, mara moja, watu wanachanganyikiwa
*mkristo ni mtu ambaye hajasoma biblia yake vizuri na pia mwislamu ni mtu ambaye hajasoma koran vizuri.
That is very true. Some food for thought. When I read the Bible especially the old testament I was appalled by the amount of violence, disregard for women and to human life.
Arrested? why is she…
Arrested? why is she arrested? She should be questioned in Mombasa. Guilty as she was married to him?
@Ndugu Imara,as ihave said…
@Ndugu Imara,as ihave said before blind faith is dangerous. It robs one of the ability to face uncomfortable questions,and thus avoid reaching for the truth.Yes we were given brains by the creator and then left to our own devices.
We have read how violent and corrupt Christians were , then they reformed.Iguess they started thinking…but islam is still very violent because it’s taking them too long to reform.And the reasons they must and will reform is because as you eloquently said-THEY ARE MAN MADE RELIGIONS.For example now days you dont hear Christians preaching that sinners will be thrown in a lake of fire,and burn without turning into arches.Yes because it contradicts the concept of a loving God.They are slowly beginning to face questions they have always avoided.
My conclusion is that eventually with alot of thinking and especially questioning there is going to be less brainwashing. For example if the Koran rewards 7 virgins to a man who kill afellow human being in the name of Allah,iwould question why 7 seven and if icould graciously settle of 2.Just the notion of being rewarded with 7 virgins for killing a human beings is ridiculous if you come to THINK about it.
My two cents.
Ndugu yangu @Maxiley: …
Ndugu yangu @Maxiley: Kulingana na imani ya waislamu, “allah” hutoa bikira sabini na mbili (72) si saba (7) kama ulivyosema.
Do this men who long for 72…
Do this men who long for 72 virgins realize that they will also end up with 72 mother-in-laws? Usinijibu Imara. Ninatafakari tu!
Violence is part of human…
Violence is part of human nature, but things like this is for cowards. Too bad Kenya can’t just annex that whole country where the masterminds are from.
Ndugu @Maxiley: Kusema…
Ndugu @Maxiley: Kusema kweli, nilipenda dini za mababu zetu kwa sababu mtu hakulazimishwa kushirika kwenye maombi!
Kuna taifa moja dogo la Kenya ya Magharibi linaloitwa “Walogooli.” Mlogooli akiamka, alikuwa akitazama Mashariki jua linakochomoza (sunrise) na kutema mate (saliva) na kusema akiwa peke yake, “Lidiku live ne mireembe.” Maana yake, siku ya leo iwe na amani. Baadaye anaendelea na shughuli zake za siku. Siku hizi Walogooli wanamaliza siku nzima kanisani wakiomba Mwana wa Mariamu. Pia, isitoshe, wakati mwingine (sometimes) hukesha (spend the whole night) kanisani wakiimba na kusali.
Kabla wageni hawajaja (watu wa kutoka Yuropa, Wahindi, na nchi za Waarabu) kwetu, hakuna taifa dogo lolote lililokuwa na jela. Watu waliishi kwa amani, huku wakishirikiana kwenye shughuli pamoja, na kusaidiana. Sasa, huwezi hata kula chakula mahali popote. Kuna chuki nyingi sana baina ya watu na unaweza kutiliwa sumu ndani ya chakula halafu ufe baada ya kukila (after eating it)!
Mimi sijakata tamaa (I have not given up yet). Nina imani tutafufuka tena kama tukiamua kutilia mkazo masomo ya sayansi, teknolojia, na kuwafundisha watoto kuheshimiana kama ilivyokuwa zamani.
Jambo jingine la ajabu ni kuwa, ilikuwa vigumu sana msichana kupata mimba kabla hajaolewa. Kama Wafaransa wanavyosema, “Maintenant quelque chose se passe aux Logooli” Maana yake, sasa kila kitu kinatendeka miongoni mwa Walogooli.
“Apotezaye mila, imani, na lugha yake huwa mtumwa (slave) wa watu wengine.”
Ndugu @Imara I agree with…
Ndugu @Imara I agree with you. And just to add, note how these two outdated religions are driving themselves into extinction by refusing to think beyond their useless dogmas and creeds. Meanwhile, China, Japan, Correa India are stongly coming in to fill the vacuum.
@ Ndugu Imara,nimeamua…
@ Ndugu Imara,nimeamua sujilemisha kuhusu mila za taifa moja ndogo so.I hve bought a book -LUYIA OF KENYA-Acultural practice-by Shadrack Amakoye Bulimo.
Like many Kenyans,my cultural heritage and pride has been compromised.Iam bent on reclaiming at least part of it,while letting sayansi continue to reveave the mystries of mankind.
Are there any books you can recommend to enhance my pursuit?Long time ago iread John Mbiti’s african religions and phylosophy,that piqued my interest…
@Ndugu yangu Njai: Ajabu!…
@Ndugu yangu Njai: Ajabu! Leo asubuhi nilikuwa nikifikiria kama ulivyoandika. Nimestaajabu sana kuoan binadamu ni mmoja duniani.
Maneno yako ya busara yanapendeza sana:
“…note how these two outdated religions are driving themselves into extinction by refusing to think beyond their useless dogmas and creeds. Meanwhile, China, Japan, Correa India are stongly coming in to fill the vacuum.”
Ndugu yangu @Maxiley:
Kwanza…
Ndugu yangu @Maxiley:
Kwanza, umemtaja Ndugu John Mbiti na kitabu chake cha “Dini na Falsafa (philosophy) ya Waafrika. Ndugu huyu nilikutana naye alipokuja kutoa hotuba katika Chuo Kikuu nilichofundisha. Kitabu chake kina makosa mengi sana kwa sababu anazungumzia falsafa ya Wakamba na kufikiria ya kwamba Afrika yote watu wanafikiria kama Wakamba. Pili, yeye mwenyewe amepigwa msasa sana hawezi kuona vizuri mambo ya Wafrika.
Kabla sijajibu swali lako, ningependa kwanza kukupa mfano huu. Watu wanaoishi karibu na mlima wa Kenya wana mataifa mengi kama: Watharaka, Wambeere, Wagicugu, Wandia, Wagikuyu, Wameru, Wachuka, Waembu na Wakamba. Mimi ninaelewa sana lugha hizi zao kwa sababu niliishi nao. Mwingereza hakuwakusanya pamoja na kuwabandika jina kama alivyofanya aliwapowaita “WALUHYA” neno amabalo kusema kweli si haki au sawa hata kidogo.
Watu niliowataja wa Mlima wa Kenya hawaelewani na pia wana mila tofauti miongoni mwao. Mmeru akikutana na Mkamba, itawabidi wasema lugha nyingine kwa sababu hawaelewani. Ngoja nikupe mfano: Waembu wakitaka kusema unafanya nini wanasema, “Uragitau?” neno hili nikaribu sana na Kikamba lakini wakamba wakisema “Wikitau?” Maana yake unafanya mapenzi na nani?
Ndugu, kwanza, ningependa ujue ni kikundi gani ambacho ungependa kujua maneno yake zaidi. Hebu tazama, Walogooli wanapakana na Watiriki, lakini kila mtu ana mila zake tofauti sana. Zaidi ya hayo hiyo, huwezi kujifunza Kibukusu halafu ukitumie kwa Walogooli. Hawatajua unasema nini! Ningepebda kuona neno hili “LUHYA” likipigwa maraufuku kabisa.
Watu wanaoitwa Wasamia hawatahiri (circumcise) wanaume wao. Lakini huwezi kukutana na Mlogooli mwanamume ambaye hayatahiriwa. Kwa kifupi nasema hivi, ni lazima tuheshimu mila za watu wengine lakini huwezi kuchanganya mila na lugha ambazo ni tofauti na kuzifanya kitu kimoja.
Kuna kitabu kimoja kilichoandika na Mjerumani mmoja kinachoitwa “The Bantu of Western Kenya.” Kiliandikwa na Gunter Wagner. Shida ya kitabu hiki ni kuwa kinaeleza tu juu ya mataifa madogo ya Wabukusu na Walogooli. Mtu mwingine ambaye ameandika juu ya Watiriki ni Simani Sangale.
@Imara another great work is…
@Imara another great work is KA The Holy Book Of Neter, by David Mailu. It was intended to be an African Bible.
@Ndugu Njai: Nakushukuru…
@Ndugu Njai: Nakushukuru sana.