The World Bank has regained its grip as Kenya’s leading creditor after earlier being overtaken by China.
This comes after Kenya borrowed Sh54 billion from the Washington DC-based in three months this year, helping it to regain its position as the country’s biggest creditors.
A new report by the National Treasury shows that Kenya now owes World Bank Sh581 billion ($5.8 billion) as at the end of June, slightly ahead of China’s Sh557 billion ($5.5 billion). This translates to one fifth of Kenya’s total public debt load which crossed the Sh5 trillion mark.
China toppled World Bank at the end of December, 2017 to become Kenya’s biggest creditor for the first time ever after it gave Kenya billions for the construction of the standard gauge railway (SGR).
The government will be spending 54 per cent of revenue collected in the 2018/19 financial year to repayment of debts.
Despite local and international experts, including International Monetary Fund (IMF) warning that Kenya’s soaring debt could end up being unmanageable, the government maintains it’s sustainable.
“We are able to comfortably repay our debt without being insolvent. As long as we are able to repay this debt without consuming a huge chunk of our revenues in terms of servicing it, our debt is viewed as sustainable,” Treasury Cabinet Secretary Henry Rotich said recently.
Mwarabu aliyeanzisha dini ya…
Mwarabu aliyeanzisha dini ya Kiislamu Ndugu Mohammed alisema, ” Ishi kulingana na mapato yako – Live according to your income.”
Kwa nini hatuishi kulingana na mapato yetu? Ningependa kujua, Je, ni ungwana kwa wachache waliopora mali ya serikali kununua helikopta na huku wananchi wanasukumana katika “matatu” kama dagaa?
Wachache wanaendesha magari makubwa ya kifahari na huku wananchi wanatembea kwa miguu kwa sababu hawawezi hata kulipa nauli ya dagaa (matatu)!
Waswahili walisema, “Kukopa ni arusi: Kulipa ni matanga.” Ni nani atakayelipa mabilioni ya dola ambazo tumekopa na ni wachache sana wanaofaidika kutokana na madeni haya.
And the Good book (the Bible…
And the Good book (the Bible) says: “Give According to your Ability.” YET some Big Kenyan CATS have been uncontrollably GIVING (into their own Pockets) what comes from China, America and the World Bank. Even WOMEN Reps pocketed 4.3 Billions for Nought.
Kenya does not need hasty…
Kenya does not need hasty development. We do not need any more borrowing only to be consumed by corrupt few. Hopefully we do not go back to Nyayo era where we took our country’s books to Washington DC. God help Kenya!!
China must be removed from…
China must be removed from Kenya by all means possible.
China is just attempting to steal port of Mombasa,The Maasai Mara and eventually colonize kenya.
China must go.
Dada @Diana, Kenya…
Dada @Diana, Kenya imeshaingia tumboni mwa Wachina. Ndugu Uhuru na Ruto ndio waliotuingiza kwenye ukoloni wa nje wa pili ambao sijui kama tutaweza kujikomboa! Sasa tumo tumboni mwa Wachina. Tunasagwa polepole.
Mungu atukomboe katika Jina…
Mungu atukomboe katika Jina la YESU. Amen!!!
@Mgeni wa Kwanza:
Nakuomba…
@Mgeni wa Kwanza:
Nakuomba tafadhali usitutukane au kuturudisha tena tulikotoka hasa sisi wachache ambao tulijitahidi halafu tukatumia zawadi MWUMBAJi aliyotupa (akili) kisha tukajikomboa na kukata minyororo ya dini mbili za kikoloni, yaani dini ya Mwana Mariamu (Yeshua- Kikristo) na ile nyingine ya Mwana Aisha (Mohammed – Kiislamu).
Watu waliotumia akili yao kama vile Wajapani, Wachina, Wakorea, Wahindi na wengineo wachache, hawana matatizo mengi kama yale tuliyonayo sasa. Kwa nini? Kama Waswahili walivyosema, ” Mwacha mila, lugha, na dini yake ya asili ni mtumwa.
Wachache waliotumia akili yako na kutupa dini za kikoloni na kiutumwa, wameendelea sana vizuri katika maisha yao. Katika nchi ya Kenya, waliokuwa wa kwanza kutupa dini ya kikoloni walikuwa Wagikuyu. Wachache wao walitupa majina ya kikoloni na kurudia majini ya asili ya Agikuyu.
@Mgeni wa Kwanza, yaonekana dhahiri kutokana na maandishi yako hapa, wewe ungali na jina na pia dini ya kikoloni! Pole sana Ndugu yangu! Nakutakia kila la kheri, ujikomboe kutokana na jela uliyojitumbukiza sasa ya dini ya Mwana Mariamu.
@Real firm. You sound a…
@Real firm. You sound a Muslim; I am a Christian. Kwa hivyo: Sitalalia BAHATI yako Mlango wazi; na Usilalie yangu vivyo hivyo.