Home LIFESTYLE NEWS Nairobi Man Offers Sh50,000 Cash Reward in an Advert for His Missing...

Nairobi Man Offers Sh50,000 Cash Reward in an Advert for His Missing Cat

1
6
Nairobi Man Offers Sh50,000 Cash Reward in an Advert for His Missing Cat

A Nairobi man has excited Kenyans on social media after he offered Sh50,000 cash reward for his missing cat, Regina.

In a paid up advert on a local national newspaper, the man identified only as Dan said the cat has black, white and greyish features.

He asks anyone with information about its whereabouts to contact him through telephone number or email address given in the advert.

“Regina was temporarily housed in Utawala when she got out on 12 August, 2018. Regina is friendly, hungry and frightened. Please call her name and offer her food and leave food so she will return. She may head from Utawala back home near Nairobi’s Central Business District,” reads part of the advert that has since gone viral online.

The owner also said one can alternatively call Andy Veterinary clinic “who will send a humane carrier to come and retrieve her.”

The advert comes after recent reports that wealthy Kenyans were splashing up to Sh250,000 per year to insure their pets with insurance companies.

6 COMMENTS

  1. Paka! Shilingi 50, 000! …
    Paka! Shilingi 50, 000! Jameni Mtu kama huyu atakayetoa shilingi hizo iwapo paka wake atapatikana ndiye niliyemwita juzi, “MKENYAREZA.”

    Mkenyareza ni nani? Ni Mkenya ambaye:

    1. Asili yake au damu yake ni ya Kenya asili, lakini:

    2. Anatumia Kiingereza nyumbani pamoja na familia yake.

    3. Mila anazofuata nyumbani ni za Waingereza halisi.

    4. Anasherehekea siku ya kuzaliwa kwa familia yake yote kwa kuimba, “Happy Birthday to you.”

    5. Wakati anapokula chakula anatumia uma (fork), kijiko, na kisu kama Mwingereza.

    6. Imani yake si ya Kiafrika, ni ya kigeni. Maana yake, anamwamini Mwana Mariamu – Yeshua na desturi za kanisa la Kikristo. Anasherehekea siku bandia ya kuzaliwa kwake Mwana Mariamu.

    7. Ana wafanyi kazi nyumbani mwake kama vile Waingereza walivyofanya walipoitawala nchi ya Kenya lakini huwalipa pesa kidogo sana.

    8. Anafuga mbwa,na mbwa wake hulala ndani ya nyumba kama Wanayuropa wanavyofanya.

    9. Wachache wamebadilisha ngozi yao (wanawake) ionekane kama ya Waingereza na pia wana nywele za bandia (wig) ambazo zinafanana na nywele za Wanayuropa.

    10. Anapigana busu za midomo kama Wanayuropa

    11. Ukisema jambo lolote baya kwa Waingereza au Wanayuropa atakufanya adui yake wa milele. Mkenya huyu mpya ndiye ninayemwita, “MKENYAREZA.”

    • @Imara, would I be correct…
      @Imara, would I be correct in stating that WAKENYAREZA,are Kenyans who use skin lighteners so that their skin color comes close to wazungus?
      Its so unfortunate that we do not like our skin color,that protects us from the destructive rays from the sun.
      For the love of me I cannot fathom 70% of Nigerian women using skin lighteners.Wow. A wooping 7 out of 10 naijas!
      But the sadest thing Iread is that some mothers bleach their infants despite having been warned of the dangers.What’s wrong with wafrika?
      Sure, Iam aware that africans are not the only dark skinned people wishing to be white.The question is why? Its just a mere color…
      one “chatabai/muindi “told me that she was glad that her baby was not dark.I asked her if she would have been happier if her child was blind and not encumbered by color preference…
      The only way mwafrika will get respect from mzungu,is when he starts showing that he is not a copy cat.And that his culture is noble.
      Note that Iam taking of culture,and not scientific principals which are universal,and mzungu cannot claim ownership.
      Jananese are very innovative,but deeply ingrained in their culture. Thats the way to go.Different,but equal.
      Now I am not talking about knocking off your teeth as culture,or marrying underage girls.Use my religion SCIENCE as a guide post when ever you are confused as to the benefits out your culture.Certainly Marrying achild is not beneficial to any human community but child abuse.
      lastly@ Imara, do you have any idea what wangereza/wazungu think of WAKENYAREZA?

  2. I have the info’ you are…
    I have the info’ you are looking for. Regina the Cat is Samosa – thabutha ya farafarani

  3. He will likely get more than…
    He will likely get more than 50,000 pusis delivered to him. Kenyans and money, God forbid!

  4. Ndugu yangu@Maxiley.
    Umetaja…

    Ndugu yangu@Maxiley.

    Umetaja mambo muhimu sana kwenye maoni yako. Ndugu, kuna msemo huu wa Kiswahili kutoka nchi jirani ya Tanzania unaosema, “kupigwa msasa – brainwashed.”

    Tumepigwa msasa kiwango ambacho tumekuwa kama wenda wazimu. Ulisema, “…Its so unfortunate that we do not like our skin color,that protects us from the destructive rays from the sun.” Umenena kweli kabisa. Kupigwa msasa si jambo linalofanyika mara moja!

    Ndugu zetu kutoka Yuropa walipotuvamia (ambush), walionyesha picha ya Mwana Mariamu Yeshua (Yesu) akiwa na rangi kama yao. Bila shaka Mwafrika aliona ya kwamba kama “mungu” ni mwekundu kama Wamisionari, haikosi
    shetani” ndiye Mwafrika!

    Tulifundishwa kujichukia na pia kila kitu cha Mwafrika kilikuwa kibaya machoni pa Wamisionari hawa. Baada ya Wafrika kuamini ya kwamba ngozi yao ni mbaya, waliuziwa madawa ya kugeuza rangi ya Kiafrika ili iwe nyekundu kama ya Wanayuropa. Wanayoropa wanafuata mafundisho ya aliyekuwa waziri wa propaganda wakati wa enzi ya Adolph Hitler aliyeitwa Joseph Goebbels. Mtu huyu alisema, “ukirudia kusema uongo mara nyingi, uongo huo hugeuka na kuwa ukweli.”

    Ndugu Maxiley, makosa sasa ni yetu. Kwa nini hatujifunzi kutoka kwa ndugu zetu wa kutoka Uchina, Korea, Japani, na India kuwa ukikutana na mtu ambaye si wa asili yako, unakopa kitu kimoja tu, kitu hicho kinaitwa “teknolojia,”

    Kwa nini mpaka sasa, tunazungumza lugha ya kikoloni nyumbani mwetu na kuchukau majina yake, imani yake, wizi wake, ufisadi wake, na uhalifu wote ambao ametufundisha kufanya? Ufisadi tulio nao tulifundishwa na Waingereza.

    Waingereza walipofika nchi ya Kenya bila kualikwa walinyakua mashamba ya wananchi huku wakitumia mabavu (force) halafu wakawatumia Wamisionari kutudanganya ya kwamba, maskini ndiye atakayekwenda mbinguni baada ya kufa na huku wakanyakua mali zetu! Kama Wamisionari wasingekuja, hali yetu ya kufufuka baada ya kutawaliwa ingalikuwa rahisi kuliko ilivyo sasa. Hali yetu ya kimawazo ni mbaya sasa. Wale viongozi waliochaguliwa wamekuwa majizi wa kupita kiasi.

    Kama nijuavyo, binadamu hawezi kukuheshimu iwapo wewe mwenyewe hujiheshimu. Waingereza halisi hawawezi kuwaheshimu “WAKENYAREZA” kwa sababu watu kama hawa wamepigwa msasa kiasi ambacho hawawezi kujikomboa, yaani brainwashed beyond redemption.

    Je, unaweza kumheshimu mtu ambaye anaombaomba misaada kila wakati halafu akipata pesa hizo anakwenda kununua helikopta, Mercedes Benz, na kuoa wake wengi, kujenga majumba makubwa na huku wananchi wanaishi mahali kama Kibera?

    Mkenyareza hawezi kupata heshima yoyote mpaka atakapojiheshimu kwanza na pia kutumia akili yake kwa manufaa ya nchi yake na watu wake.

    Marehemu Fidel Castro alipokuja kwenye umoja wa mataifa alitoa hotuba yake kwa Kispania. Yeye alijua Kiingereza vizuri sana. Kiongozi wa Urusi Ndugu Vladimir Putin anajua Kiingereza vizuri sana. Kwa nini anasema Kirusi na kujifanya kama haelewi kiingereza naye na bingwa wa Kiingereza kam Theresa May – waziri mkuu wa Uingereza.

    Hebu niambie, kwa nini viongozi kutoka Afrika ya Mashariki hutoa hotuba yao kwa Kiingereza na kama tujuavyo, Kiingereza ni lugha rasmi na pia lugha ya taifa?

    Hebu tuwatazame Ndugu zetu wa asili ya Afrika hapa Marekani. Historia yasema, Wafrika wa kwanza kuuzwa hapa Marekani walitoka nchi ya Angola na kufika hapa Marekani mwaka wa 1619 kama watumwa. Wamarekani hawa wamepoteza kila kitu cha Mwafrika ila rangi yao. Je, wanaheshimiwa na Wamarekani wa asili ya Yuropa sasa? HAPANA. Kwa nini sisi tunafuata nyayo zao na huku tunasema sisi ni watu huru?

    USIPODHAMINI (VALUE YOUR ANCESTRY) ASILI YAKO, NA PIA KUJIHESHIMU (SELF RESPECT) HAKUNA ATAKAYEKUDHAMINI AU KUKUHESHIMU!!!!!

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here