Home KENYA NEWS Ruto Sworn in as Kenya’s Fifth President

Ruto Sworn in as Kenya’s Fifth President

1
7
 Ruto Sworn in as Kenya’s Fifth President

William Ruto has been sworn in as Kenya’s fifth President, officially taking over from his predecessor Uhuru Kenyatta.

Ruto, 55, took the Oath of Allegiance and the Oath of Execution of the Office of the President, which was administered by Chief Registrar of Judiciary Anne Amadi at 12.45 p.m.

The oath was administered in the presence of Chief Justice Martha Koome and Attorney-General Paul Kihara Kariuki.

First Lady Rachael Ruto stood by her husband’s side as he took the oath.

Ruto took the oath of office at a packed 60,000-seater Kasarani, witnessed by more than 20 Heads of State and Governments.

 

7 COMMENTS

  1. Jumba la Makumbusho (museum)…
    Jumba la Makumbusho (museum) lijengwe Kiambaa, Eldoret ili watoto, wazee, na akina mama 37 walioteketezewa humo kanisani walipokwenda kujificha baada ya matokeo ya uchaguzi wa 2007 wasisahauliwe.

    Imepita zaidi ya miaka 14 tangu janga hilo lilipotendeka na mpaka sasa, hakuna hata mtu mmoja ambaye ameshikwa na kupelekwa kortini na kuhukumiwa.

  2. Start with Raila. Stop…
    Start with Raila. Stop painting it to Ruto and yet you know the truth why people were fighting for. It wasn’t for Ruto it was for Raila. Or what about those people that were in killed Naivasha during post election violence.

  3. Ndugu @ Odhiambo:
    Ningependa…

    Ndugu @ Odhiambo:

    Ningependa kukukumbusha ya kwamba wote waliohusika kumwuunga Ndugu Trump halafu wakatumia mabavu kuingia katika jumba la Capitol, Washington, DC na kutambuliwa, wamepelekwa mahakamani. Wengi wao sasa wamo kifungoni.
    Jiografia ya Kenya yaonesha ya kwamba, kanisa la Kiambaa, liko Eldoret na siyo Kisumu. Kwa vile Kiambaa watu walichomewa kanisani, mahali pa mungu bandia wa kikoloni, athari ni kubwa sana.
    Nakubaliana nawe ya kwamba, kuna mahali pengi watu walipouawa. Kwa hiyo, hakutakuwa na haki nchini mpaka wote waliohusika na majanga ya 2007, wanaswe na kuadhibiwa ipasavyo.

    • I hope you seeing what is…
      I hope you seeing what is happening to Trump, he will get to Jail. Now let’s face the truth here. Ruto was not in Kiambaa and we should follow it well who gave out green light for that divisive language. Someone when and sat aside and let people fight. As a leader he should have called for peaceful demonstrations while waiting for court verdict. The pain Kiambaa people felt including the Naivasha people will not go to vain it will look for someone and that person is not Ruto.

    • And we can’t compare Trump…
      And we can’t compare Trump situation to what happened in Kenya, with Trump no one lost life but in Kenya we lost people.

  4. @ Odhiambo! Kwa nini…
    @ Odhiambo! Kwa nini unajitambulisha kwa jina la Kiluo na wewe si Mluo?

    Sidhani unaelewa lugha ya Kiswahili vizuri ili uelewe nilivyosema. Wengi wa Wamarekani waliosikia mwito wa Ndugu Trump na kuingia kwenye jumba la Capitol na kutambulikana, sasa wamo kifungoni.

    Kwa nini watu waliohusika na mambo ya Kiambaa mpaka sasa, hakuna hata mtu mmoja aliyeshikwa na kupelekwa mahakamani?

    Ningependa ujue ya kwamba, nimefuatilia jambo hili kwa sababu mle kanisani la Kiambaa huko Eldoret, mlikuwemo watoto wadogo sana ambao walipoteza maisha yao bila kujua sababu yake. Watoto wadogo hawa ndio mimi ninaowatetea ili waliowateketezea humo kanisani washikwe na kupelekwa mahakamani ili waadhibiwe ipasavyo.

    Mwishowe, ningependa kukukumbusha ya kwamba tabia hii ya watu kupoteza uhai wao na upelelezi wa kuwanasa waliohusika usitendeke, ni kunyume cha mila zetu za asili ambazo uhai wa kila mtu uliheshimiwa na kudhaminiwa.

  5. @ Odhiambo! – Jina bandia: …
    @ Odhiambo! – Jina bandia: Wewe si Mluo. Jina hili ni la watu wa asili ya Kiluo

    Uliandika ya kwamba, “…with Trump no one lost life but in Kenya we lost people.” Si kweli Ndugu! Inaonekana dhahiri ya kwamba, sasa wewe umejitolea kuwa Dr. Joseph Goebbels wa UDA! Si tabia nzuri kuwa mwana porojo.

    Uliyoandika si ya kweli, Kwa nini? Umesahau Binti aliyekuwa mwanahewa aliyepigwa risasi na kufa alipokuwemo katika Jumba la Capitol?? Si yeye pekee aliyekufa, kuna wengine wachache waliokufa kutokana na janga hili.
    Nakuomba kwenye siku za usoni, ufanye utafiti kabla hujaandika jambo lolote na kulisambaza duniani kwa sababu, kuna watu wengine wengi, wasiojua yanayoendela yaliyo ya kweli na yasiyo ya kweli duniani.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here