Home KENYA NEWS Meru Senator Mithika Linturi Barred from Accessing His Runda Home after Threatening...

Meru Senator Mithika Linturi Barred from Accessing His Runda Home after Threatening to Kill Estranged Wife

1
8
Meru Senator Mithika Linturi Barred from Accessing His Runda Home after Threatening to Kill Estranged Wife

The court has barred Meru Senator Mithika Linturi from accessing his matrimonial home in Runda Estate.

This comes after his wife, Marianne Jebet Kitany obtained restraining orders against the politician following a scuffle between them two weeks ago, where the Senator allegedly brandished a gun and threatened to kill her.

In his ruling, Milimani Commercial Court Senior Resident Magistrate I. Orenge has given exclusive occupation of the matrimonial home to Ms. Kitany and barred the Senator from going near the residence or any other place where his wife visits.

“Restraining the respondent from watching, loitering near or preventing or hindering access to and from the shared residence, Keitany’s office, or places that she visits often,” the judge says.

He has also been ordered not to make any contact with his estranged wife unless authorized by the court. “Restrain Linturi from engaging in any behavior which amounts to emotional, verbal or psychological abuse of his wife,” the order further reads.

Keitany previously worked as the chief of staff in Deputy President William Ruto’s office and currently operates a businesswoman.

Senator Linturi has also been barred from damaging property and intimidating, harassing or stalking Keitany.

 
 

8 COMMENTS

  1. Mkristo Lenturi amesahau…
    Mkristo Lenturi amesahau imani ya dini yake. Kulingana na dini yake, “mungu” alitoa amri kumi. Mojawapo ilikuwa “Usiue.”

    Dini hii ya Kikrito ni dini ya wanafiki, wezi, wauaji, majambazi, na pia matapeli.

    Mkristo Linturi afaa aondoelewe kwenye uongozi wa nchi kwa manufaa ya umma.

  2. Sasa wewe @daima kwani dini…
    Sasa wewe @daima kwani dini yako ni gani? Ni wapi ulisikia wakristo wemeua watu? Kama wewe ni mkana Mungu (atheist), wacha kutusi dini za wengine bwana.

  3. Ndugu @Njai:
    Kuna “mungu” na…

    Ndugu @Njai:

    Kuna “mungu” na MWUMBAJI. “mungu” anapatikana katika biblia na koran. “mungu” wa koran na biblia ni mwanamume. “mungu” huyu, alibuniwa na binadamu (Waarabu na Wayahudi) wa kawaida kama wewe. Ukisoma vitabu hivi viwili kwa utaratibu na makini utaona jinsi mungu huyu alipohusika kuwaua watu wengi katika dunia ya Wayahudi na Waarabu. Unakumbuka katika biblia jinsi mungu huyu alipokasirika na kuwaua watu wengi alipoleta mvua nyingi?

    Nilikuwa mkristo kama wewe halafu baada ya kusoma biblia, nikaona ya kwamba, kitabu hiki kinaonyesha maisha na maoni ya Wayahudi na hakina uhusiano wowote na asili yangu.

    Mimi sina uhusiano wowote na mungu wa Wayahudi na Waarabu! Kwa hiyo, Mwafrika hawezi kuwa mkristo au mwislamu!

    MWUMBAJI ndiye aliyekuumba wewe na vitu vyote tunavyoona kwa macho na vingine vingi ambavyo hatuwezi kuviona kwa macho ila tunapotumia teknolojia. Huyu ndiye ninayemwamini.

    Ukimwamini MWUMBAJI, utatumia zawadi aliyokupa inayoitwa “akili” na hutaingia kwenye matatizo yote katika maisha yako yote. Utatumia akili yako vizuri ambayo haitakuruhusu, kumwua binadamu mwenzako, kusema uongo, kuiba, kufanya jambo lolote linaloweza kumwuumiza binadamu mwenzako.

    Ukimwamini MWUMBAJI, utaheshimu asili yako, imani ya mababu zako, majina yako, mila zako zilizo nzuri na pia utakuwa mwanafunzi katika maisha yako yote ili kujifunza miujiza MWUMBAJI aliyofanya alipoumba ulimwengu (universe) na viumbe vyote vilivyomo.

    Wafuasi wa “mungu” wa koran na biblia waliwauza Wafrika na pia wanawabagua Wafrika hata sasa. Wengi wa wafuasi wa “mungu” wa binadamu ni wauaji, wezi, majambazi, waongo, waroho, na pia matapeli.

    Nimesema mara nyingi ya kwamba, mimi namwamini MWUMBAJI aliyeniumba na kunipa akili. Kazi yake ilimalizika kabisa aliponipa “utu” na “dhamiri. MWUMBAJi si mwanamume au mwanamke!

    Umeniuliza ni wapi wakristo walipowaua watu? Je, umesahau wakristo ndugu zetu kutoka Yuropu walipohamia Canada, USA, Mexico, Marekani ya Kati na Kusini, Visiwani vyote vya Caribbean, Australi, Tasmania, New Zealand, katika visiwa vyote vilivyomo katika bahari ya Pacific jinsi walivyowaua wenyenchi na kuchukua nchi yao?

    Umesahau Vita ya Kwanza, na ya Pili duniani na mamilioni ya watu waliouawa? Umesahau Wakenya waliouawa na wakristo Waingereza wakati wa vita ya Kwanza ya kuikomboa nchi ya Kenya? Kiongozi wa nchi ya Ujerumani Adolph Hitler alikuwa mkristo! Baada ya Vita ya Pili, mkristo Hitler aliwaua zaidi ya watu milioni 60!

    Kwa nini umesahau mkutano uliofanywa Berlin, Germany kutoka Novemba 15, 1884 mpaka Februari 26, 1885 wakati Wanayuropa walipokutana na kugawana Bara la Afrika? Ndiyo sababu wewe wasema Kiingereza na pia wewe ni mkristo kwa sababu Waingereza walikupeleka “boarding school” walipokupiga msasa (brain wash? kiwango ambacho umesahau asili yako.

    Mimi sizitambui dini zote za kigeni wala kufuata mila zao. Lakini, napenda kujifunza sayansi, na kutumia teknolojia ambayo inatuwezesha kutumia akili ambayo inarahisisha maisha yetu ya kila siku. Tukianza kutumia akili yetu vizuri, maisha ya mwananchi wa kawaida Kenya yataboreshwa na pia kupunguza umaskini unaotokana na kutotumia akili vizuri.

    Waswahili walisema, ” AKILI NI MALI.”

  4. Hehehe..Sasa hii sayansi…
    Hehehe..Sasa hii sayansi unayoiabudu si pia ililetwa na hawa wakristu? Mbona ulihama nchi yako nzuri ukaenda kuishi kwa hawa mambepali, wauaji, mashetani? Mimi naamini Mungu yuko. Kile ambacho siamini sawa na wewe ni hii miungu midogo midogo Kama vile muhamed, Issa na wengine. Hata hivyo ndugu Imara, wale wanaotaka kuabundu miungu-watu usiwatukane wala kuwakosoa kwani hiyo ni imani yao. Kuna wale waamini Mungu wao anaishi kwa mlima Kenya, wengine wanaamini Mungu wao anaishi juu mawinguni na kathalika. Wangu anaishi ndani yangu. Yote hii ni sawa.

  5. @Ndugu Njai: Asante sana…
    @Ndugu Njai: Asante sana kwa majibu yako na pia maoni yako kuhusiana na mambo ya imani.

    Mimi sina shida yoyote na Ndugu na Dada zangu Agikuyu kuabudu huku wakitazama “mlima wa Kenya.” Matatizo yangu yataanza wakati Agikuyu watasema ya kwamba ni lazima kila mtu aabudu huku akitazama mlima wa Kenya. Ndiyo sababu nina matatizo na ndugu zangu waislamu na wakristo wanaposema ya kwamba ni lazima nifuate dini zao na kuabudu kama wanavyoabudu.

    wakristo husema, huwezi kwenda mbinguni (mimi sitaki kwenda huko) usipomkubali na kumwamini Yeshua/Yesu kama “mungu na mwokozi ” wako!

    waislamu nao husema, “La ilaha illa allah muhamed rasul allah.” Maana yake “Hakuna mungu mwingine ila Allah na muhamed ni mjumbe wake.”

    Naomba Ndugu @Njai ujue ya kwamba Wachina waliongoza kwa mambo ya sayansi halafu rafiki zako wakristo wakaiba na kutumia ujuzi wao kutengeneza bunduki na kuitawala dunia nzima kama mali yao.

  6. @ Njai, science may have…
    @ Njai, science may have been brought by wachristo,but,it its origin is not from wakristo. Science -is basically the study of physical and natural world through observation,and experimentation.Going by that definition,one can hardly say that it originated from one source.Even if we take it that christians brought it to africa, their intent was not to turn africans into Scientists.
    Anyway, my point is that science unlike christianity,or islam, has followers who question,and are not lead by blind faith.

  7. @Maxiley:
    Umemjibu Huyu…

    @Maxiley:

    Umemjibu Huyu Ndugu yetu @Njai vizuri sana. Nimependa sana maneno haya ya ukweli uliyoandika:

    “….Even if we take it that christians brought it to africa, their intent was not to turn africans into Scientists.
    Anyway, my point is that science unlike christianity,or islam, has followers who question,and are not lead by blind faith.”

    Asante sana. Ndiyo sababu mpaka sasa yapata miaka 55 tangu tupate uhuru, tungali tunatazama nje ili wageni waje kututengenezea barabara, treni, uwanja wa ndege na kadhalika. Mpaka sasa, hatuna baiskeli, pikipiki, na vitu vingine vya msingi ambavyo vilivyotengenezewa Kenya au kuundwa nchini.

    Adui yetu mkubwa ni imani bandia za kutoka nje. Imani hizi mbovu zimetufundisha kupoteza wakati makanisani, misikitini huku tukiomba badala ya kushirikiana kimawazo tukitumia akili zetu pamoja kama watu wengine walioendelea duniani hufanya ili watatue matatizo mengi ya msingi waliyo nayo.

    Ndugu yetu mkristo Ruto aambiwe aanze kujenga viwanda na asitoe hata senti moja kuwapa matapeli viongozi wa makanisa kama anavyofanya. Jameni “…Na tujenge taifa letu, Ee ndiyo wajibu wetu, Kenya istahili heshima, tuungane mikono pamoja kazini …”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here